ZA UKWELI SANA

BREAKING NEWS...MWENYEKITI WA CUF PROF LIPUMBA APIGWA VIBAYA NA ASKARI

Kwa habari zilizotufikia hivi punde zinasema mwenyekiti wa cuf na baadhi ya waandishi wa habari wamepigwa vibaya baada ya polisi kukataza wasifanye mkutano na kukaidi amri hivy kutembezewa kichapo barabara na na askari wa kutuliza ghasia.,

0 Response to "BREAKING NEWS...MWENYEKITI WA CUF PROF LIPUMBA APIGWA VIBAYA NA ASKARI"

Chapisha Maoni