ZA UKWELI SANA

Maria cary na suprise hii kwa mashabiki wake

mwaka jana rapper wa marekani jayz aliamua kuwafanyia supprise mashabiki wake kwa kuamua kupanda treni na kukaa kwenye siti moja na bibi kizee ambaye hata hakufamuhamu kwamba ameketi na mtu maarufu  duniani,hivyo ndivyo ilivyotokea kwa mwanamuziki maria carey,ambapo hivi majuzi aliibuka katika hoteli moja,na watu waliokuwa hotelini hapo walieleza ni jinsi gani wanamkubali mwanamuziki huyo na mlango ulipofunguliwa walimshangaa kumuona maria carey akiwa amevaa mavazi ya wahudumu wa hoteli hiyo.
 

maria amepanga kufanya show yake huko lass vegas may 6,amesema anafurahishwa kuona mashabiki wake wakimkubali yeye na kazi zake

0 Response to "Maria cary na suprise hii kwa mashabiki wake"

Chapisha Maoni