ZA UKWELI SANA

THT KUADHIMISHA MIAKA 10 TANGU KUANZISHWA KWAKE

     
MENEJA MKUU WA TANZANIA HOUSE OF TALENT ,THT MWITA MWAIKENDA AKIZUNGUMZA KUHUSIANA NA MAADHIMISHO YA MIAKA 10 THT.
  Tht ilianzishwa mwanzoni mwa mwaka 2005 kwa lengo la kuwasaidia vijana wenye vipaji,lakini wasio na uwezo wa kujiendeleza wenyewe kwenye sekta ya sanaa nchini ,na toka wakati huo kituo kimekuwa na mafanikio makubwa na mchango wa pekee kwenye kukuza sanaa na mziki nchini .Tht ikiwa imeanzishwa kama kituo cha kusaidia watoto wa mtaani na wenye vipaji,imeweza kukua kwa kipindi cha miaka 10,na sasa sio tu inazalisha na kukuza vipaji bali imekuwa ikitoa huduma zote kuanzia uratibu wa matamasha ,kuandaa mpangilio wa burudani ,kutengeneza matangazo ya radio na tv pamoja na makala ya vipindi vya television Tht pia inaratibu tamasha kubwa nchini la fiesta,mkutano wa smart partnership,sensa ya mwaka2013 pamoja na sherehe za muungano za miaka 50 ya muungano wa jamhuri ya Tanzania Tht pia kwa sasa inamiliki studio yake mwemyewe.                       jicho la kitaa blog tunasema hongereni saana tht.

0 Response to "THT KUADHIMISHA MIAKA 10 TANGU KUANZISHWA KWAKE"

Chapisha Maoni