ZA UKWELI SANA

mama mzazi wa mwanamuziki yu dhohofu Lihali.

Mama mzazi,wa mwanamuziki Diamond platnumz ameripotiwa kuwa mgonjwa,na anakabiliwa na maradhi yanayokaribia kupooza mwili,kwa mujibu wa vyanzo vya udaku mama huyo anajiuguza na yupo nyumbani kwake huko Sinza MORI akijiuguza.
mwanamuziki diamond platnumz
mama wa Diamond platnumz akijisikilizia maumivu hospitalini.

0 Response to "mama mzazi wa mwanamuziki yu dhohofu Lihali."

Chapisha Maoni