ZA UKWELI SANA

H.BABA MWANANGU TANZANITE PIA ANA MENEJA WAKE.

Mwanamuziki wa miondoko anayoita mwenyewe bongo bolingo fleva H.baba amesema kwamba mwanawe mdogo kwa jina la Tanzanite one pia ana meneja wake,kwani anamuandaa kwa ajili ya kufanya matangazo,mimi nina menejimenti yangu na mke wangu Flora pia ana menejiment yake,kil mtu katika famili hii ana menejiment yake alisema H.baba alipokuwa akihojiwa na kipindi cha The Mboni show kinachorushwa na TBC1.

0 Response to "H.BABA MWANANGU TANZANITE PIA ANA MENEJA WAKE."

Chapisha Maoni