ZA UKWELI SANA

adam mchommvu kufanya uzinduzi mkubwa wa kideo cha ngoma yake mpya billicanas.


mtangazaji wa kipindi cha xxl na bongofleva vinavyorushwa na clouds fm,adam mchovu maarufu kama baba jonii,anatarajia kufanya uzinduzi mkubwa wa video ya wimbo wake mpya,inayoitwa TIRIRIKA,uzinduzi huo ambao ndio utakuwa mkubwa tangu huu mwaka uanze unatambulika kwa jina la vitu fulani hivi amazing concert,utafanyika katika club billicanas au club billz,utasindikizwa  na wasanii kibao wabongo fleva.

0 Response to "adam mchommvu kufanya uzinduzi mkubwa wa kideo cha ngoma yake mpya billicanas."

Chapisha Maoni