ZA UKWELI SANA

WEMA AJUTIA KOPE ZA BANDIA.

Mwanadada wema sepetu amejutia uamuzi wake wa muda mrefu wa kutumia kope za bandia,kwani matumizi ya kope za bandia yameharibu kabisa kope zake za asili,alisema hayo alipokuwa anahojiwa na GPL.

0 Response to "WEMA AJUTIA KOPE ZA BANDIA."

Chapisha Maoni