ZA UKWELI SANA

MACHANGU WAZICHAPA KISA BWANA MAKABURINI.

wimbi la ukahaba limezidi kila kukicha cheki hawa,huko nchini naigeria wanazichapa kisa bwana tena makaburini,chanzo kimenyetisha kuwa madada hawa ni mashost wa siku nyingi,kwani kila sehemu walionekana pamoja,lakini mmojawapo alimbadilikia mwenzake na kutembea na bwana wa mwenzie,ndipo utata ulipotokea pale alipo baini.

0 Response to "MACHANGU WAZICHAPA KISA BWANA MAKABURINI."

Chapisha Maoni