ZA UKWELI SANA

MINAIK ALALAMIKIA WAZAZI WAKE KWA WOLLPER.

msanii wa filamu mwenye vituko kila kukicha,minaik sanga amenyetisha kuwa wazazi wake wammemgomea,kuhusu suala lake la kutaka kumposa mwanadada jackline wolliper,aah....unajua wazazi wamekataa kuwa nisioe mjini bali nikaoe kwetu
,hivyo mpango wa kumchukua diva huyo wa bongo muvi umekwama,alisema sanga kwa huzuni
 

0 Response to "MINAIK ALALAMIKIA WAZAZI WAKE KWA WOLLPER."

Chapisha Maoni