ZA UKWELI SANA

JAY MO,ASEMA ANAKUJA KIVINGINE ZAIDI.

Msanii wa kizazi kipya na mkongwe katika muziki wa bongo fleva,juma  mchopanga almaarufu kama jay mo,amesema yupo mbioni kuachia ngoma mpya aliomshirikisha msanii gnako kutoka katika kundi la weusi,mo alisema alikuwa kimya muda mrefu kwani alikuwa nje ya nchi kwa muda mrefu ili kujifunza watu wa nje wanaishi vipi,aaah..nilikuwa nasafiri sana kwenda nje unajua mimi nusu ya familia yangu ipo nje ya nchi,mo amesema game la sasa limechenj sana ndio maana hata yeye anatarajia kurudi kwa stailinyingine ya kibiashara zaidi,mo amesema anapokuwa kimya ana usoma mchezo watu wasifikiri nimeharibikiwa na madawa ya kulevya.
mo amesema yapo mambo mengi,ya kimaendeleo aliyoyafanya ikiwemo kujenga nyumba nzuri ya kifahari,,na kumpangisha bonge la star hapa town japo hakupenda kumtaja jina lake,unajua nimepoteza muda sana kama ningewekeza kwenye game tangu kitambo,ningekuwa hata na ghorofa tatu,mzee ndio nimeshtuka hivi karibuni duu alisema mo,alipo ulizwa kuhusu wasanii wanaojiingiza kwenye madawa ya kulevya kwa kigezo cha stress baada ya game kumtomlipa,mo alisema ni ujinga mbona kuna washkaji fulani walikuwepo mastaa kipindi hicho na siku hizi hawasikiki lakini wako poa tu,nyinyi media mukemee kabisa madawa ya kulevya hayaleti picha nzuri kwa sisi wasanii,ndio maana hata wazazi wengine watawakataza watoto wao kujiingiza kwenye mziki alinyetisha mo....
source siz kitaa clouds tv.

0 Response to "JAY MO,ASEMA ANAKUJA KIVINGINE ZAIDI."

Chapisha Maoni