ZA UKWELI SANA

KUWA UNACHOTAKA........ONYESHA KIPAJI CHAKO.

Kama unakipaji usijifiche chumbani kitoe kwa wadau,sanaa sikuhizi bongo ni ajira,soko la ajira linabana sana jiajiri mwenyewe kama  wewe ni muigizaji,muimbaji,mcheza mpira,mchoraji,na sanaa nyinginezo onyesha kipaji chako,kuwa unachotaka.

0 Response to "KUWA UNACHOTAKA........ONYESHA KIPAJI CHAKO. "

Chapisha Maoni