ZA UKWELI SANA

CHEKI MJENGO WA MSHINDI WA BBA IDRIS HUU HAPA.

Ule msemo wa hakuna baba mwenye gari ,bali ni baba mwenye nyumba umedhihirika kwa idriss wa BBA,baada ya kununua mjengo huu wa kifahari,na kutupia picha instagram.

0 Response to "CHEKI MJENGO WA MSHINDI WA BBA IDRIS HUU HAPA."

Chapisha Maoni