ZA UKWELI SANA

AJALI MBAYA KATI YA DALALA NA LORI

Hii ni ajali mbaya iliyohusishakati ya lori na dalala inayobeba abiria kutoka tegeta kuelekea ubungo,itv imeripoti mtu mmoja kukatika miguu na wengine kujeruhiwa vibaya,ajali hii imetokea huko maeneo ya tegeta mapema jana,na mafundi gereji huko tegeta walijaribu kila namna kukata mabati ya daladala kunusuru abiria hao.
              ajali tegeta.

0 Response to "AJALI MBAYA KATI YA DALALA NA LORI"

Chapisha Maoni