ZA UKWELI SANA

HIZI NDO KAULI ZA MHESHIMIWA KABWE KUHUSU YEYE KURUDI CHADEMA

 Mwanzoni mwa mwaka 2014,zitto kabwe alikuwa na mgogoro na chama chake,kupelekea yeye kwenda mahakamani kuzuia chama  chake hichokuacha kujadili uanachama wake,lakini mwanzoni mwa mwa mwaka huu kumeibuka fununu kuhusu yeye kurudi kwenye chama chake,akijibu tuhuma hizo zito kabwe kwenye exclussive interview aliyofanya na millard ayo alisema,yeye hajawahi kutoka chadema ikumbukwe kwamba ana kesi mahakamani na mahakama bado haijatoa majibu kuhusiana na kesi yake bado  kwahiyo yeye ni mwanachama wa chadema bado,na hajawahi kutoka chadema so ukisema amerudi unakuwa unakosea alisema zitto kabwe.
                              mh zitto kabwe akiwa mjengoni

0 Response to "HIZI NDO KAULI ZA MHESHIMIWA KABWE KUHUSU YEYE KURUDI CHADEMA"

Chapisha Maoni