ZA UKWELI SANA

Star Wa Tanzania Movie Talents(TmT)2014,Mwanaafa Mwinzago Awa Kivutio Mitaa Ya Kariakoo.

  Mshindi wa Tanzania movie Talents (Tmt)2014 mwanaafa Mwinzango(katikati)akisindikizwa na Matroni pamoja na mfanyakazi wa Tmt huku akilindwa na Mabaunsa wakati alipopokelewa katika mitaa ya kariakoo kwa ajili ya kununua zawadi kwa ajili ya wazazi wake.

mwanaafa katikati akiwa na matroni mabaunsa na wafanyakazi tmt

akisalimiana na wanafunzi wa shule ya msingi na waki mpongeza.

PICHA na matuKIO MENGINE AKIFANYIWA SHOPING

0 Response to "Star Wa Tanzania Movie Talents(TmT)2014,Mwanaafa Mwinzago Awa Kivutio Mitaa Ya Kariakoo."

Chapisha Maoni