ZA UKWELI SANA

Vijana tujitose kwenye kilimo Kwanza.

kumekuwa na malalamiko mengi sana kwana vijana kuhusu ajira,vijana wengi wanapomaliza shule na vyuo vingi hapa nchini hupenda kuajiriwa lakini wamesahau kuna sekta yenye fedha nyingi kama utajikita kwa dhati kwenye kilimo

Hizi ni baadhi ya picha zikionyesha baadhi ya mazao ya bustani yakipendeza vyema sana.
....

0 Response to "Vijana tujitose kwenye kilimo Kwanza."

Chapisha Maoni