ZA UKWELI SANA

Mwanamke agongwa na Dalala Ubungo maji.

   Mwanamama huyo aligongwa na Dalala hiyo wakati akijaribu kuvuka barabara maeneo ya Ubungo Maji,Daladala hilo lenye nambar za usajili Toyota Coster T454 BBV

picha zikionyesha msamaria mwema akijaribu kumnusuru mwanamke huyo ili awahishwe hospitalini pichani ni Dalala lilo mgonga mwanamke huyo.

0 Response to "Mwanamke agongwa na Dalala Ubungo maji."

Chapisha Maoni