ZA UKWELI SANA

LADY JAY DEE AUKWAA UBALOZI WA UZAZI.

   Mkurugenzi mkazi wa shirika la Marie stopes Tanzania(MST) uller Miller(kulia) akikabidhi kisanduku chenye vifaa vinavyohusika na masuala ya uzazi wa mpango kwa balozi mpya wa Marie stopes ambaye pia ni msanii mkongwe wa muziki wa kizazi kipya,Judith Wambura "Lady jay dee katika hafla ya utiaji sahihi makubaliano hayo katika ofisi za MsT,jijini Daresalam.

Lady jay dee akipokea kisanduku cha uzazi wa mpango wakati wa makubaliano picha na Anko Michuzi blog.

0 Response to "LADY JAY DEE AUKWAA UBALOZI WA UZAZI."

Chapisha Maoni