ZA UKWELI SANA

Raisi Kikwete Akutana na bibi yake Obama.

Raisi Jakaya Kikwete akiwa na bibi yake,Raisi wa marekani mh Barack Obama walipokutana leo kwenye hoteli ya Villa Rosa Kempiski jijini Nairobi Kenya. Picha kutoka Ikulu.

0 Response to "Raisi Kikwete Akutana na bibi yake Obama."

Chapisha Maoni