ZA UKWELI SANA

Achomwa moto akidaiwa kuiba baiskeli Morogoro.

Tukio hilo limetokea maeneo ya nane nane Morogoro karibia na shule ya sekondari ya maarufu kama fadha peku peku,na kijana huyo jina lake halikuweza kufahamika mapema.

0 Response to "Achomwa moto akidaiwa kuiba baiskeli Morogoro."

Chapisha Maoni