ZA UKWELI SANA

PICHA NYINGINE ZA HARUSI YA ANGELINA JOLIE NA BRAD PITT.

Ilikua ni ndoa ambayo walifunga kwa siri,yaani bila kuitangaza kwenye vyombo vya habari ambapo inshu nzima ilifanyika nchini Ufaransa na kuhudhuriwa na watu 22 peke yake.

     Mmoja wa watu wao wa karibu amesema wawili hawa kwa sasa wako Serious kuhusu uhusiano wao na kuishi pamoja maishani na siku hizi hawana mikwaruzo ya mara kwa mara kama zamani na wana mpango wa kubadilisha majina na kuitwa Jolie-pitt.

POSTED BY YUSUPH MBUGUNI.

0 Response to "PICHA NYINGINE ZA HARUSI YA ANGELINA JOLIE NA BRAD PITT."

Chapisha Maoni