ZA UKWELI SANA

Cheki kajala mambo yake Bomba sana Siku hizi.

  kajala mtonyo umemtembelea sasa mambo yake supa,apanga mjengo wa gorofa sinza madukani alipia dola kadhaa kwa mwaka,magari kadhaa ya kampuni yake tazama hapa.

0 Response to "Cheki kajala mambo yake Bomba sana Siku hizi."

Chapisha Maoni