ZA UKWELI SANA

Shilole Condom ya Nini?

msanii wa bongo movie na mwanamuziki wa bongo fleva Shilole amesema hapendi kabisa kutumia Condom ndio maana yeye na mpenzi wake mbongo fleva mwenzake Nuhu mziwanda wamekwenda kupima na kujikuta wapo salama na hivyo kila mtu kuapa kuwa mwaminifu na mwenzi wake,"unajua raha ya ndizi usiile na maganda sipendi kabisa kutumia Condom "alisema shishi baby.

Shilole akiwa katika pozi SHISHI BABY.

0 Response to "Shilole Condom ya Nini?"

Chapisha Maoni