ZA UKWELI SANA

VIDEO YA MR NAY YAMFANYA NAY WA MITEGO AITWE NA MAMA YAKE MZAZI.

    Nay wa mitego msanii wa bongo fleva ambaye yupo kwenye list ya watakaotumbuiza katika stage ya serengeti ya fiesta 2014 Ijumaa hii hapa maeneo ya Shinyanga.
      Amethibitisha kwamba mama yake mzazi amemuita na kutaka kujua kilichoonekana kwenye video yake mpya ya Mr Nay aliyoifanya Kenya kinamaanisha nini.
     Nay ambaye kabla ya kufanikiwa kimuziki aliwahi kuwa kinyozi wakati bado akisoma sekondari,ameongea na jicho la harakati kitaa na kusema mama yake amemuita nyumbani septemba 2 2014 kutaka kujua kinacho endelea sababu alichoona kwenye video na ana choambiwa na watu kinamfanya apate wasiwasi mkubwa,"unajua watu wanadhani mimi ni mwabudu shetani" ila sio kweli mimi ni mbunifu tu ipo siku nitakuja kueleza kila kitu.
    Zile picha za damu,na vitu vingine kama vya kishetani pamoja na namba ninayoipenda kuitumia ya #966 ni vitu vinavyonifanya nipate sana msg na kuniuliza maswali.

picha hizo za video ya Mr Nay zilizo geuka gumzo kwa mtaa

0 Response to "VIDEO YA MR NAY YAMFANYA NAY WA MITEGO AITWE NA MAMA YAKE MZAZI."

Chapisha Maoni