Diamond platnumz ametangazwa chanel O kuwania Vipengele vinne Tuzo zinazofahamika kama CHOAMWA,vipengele vinne hivyo ni most gifted video of the year,most gifted new corner,most gifted Afro pop na most gifted East.
Tuzo hizo zitatolewa jumamosi tarehe 29 November,Nasree Expo Centre mjini Soweto huko Afrika kusini.
Diamond ametangazwa kuwania tuzo za Chanel O
Posted by Unknown
on Ijumaa, 5 Septemba 2014,
Add Comment
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 Response to "Diamond ametangazwa kuwania tuzo za Chanel O"
Chapisha Maoni