ZA UKWELI SANA

Young killer adaiwa kutoa mahari.

  Rapper kutoka Mwanza ambae msimu wa serengeti fiesta 2012 ulifanikiwa kumuwakia na kuwa mshindi wa kwanza kwenye mashindano ya serengeti Super nyota,amedaiwa kutoa mahari kimya kimya kwa msichana ambaye anaishi nae sasa Hilimaty.
  Kwa kile kinachodaiwa kupigwa mkwara na baba wa binti huyo kwamba asipo fanya hivyo atamsomea Haibadili,rapper huyo alipo tafutwa na mtangazaji wa clouds fm radio kipindi cha gossip coup kuthibitisha madai hayo alisema anapanda kwenye ndege kuelekea Musoma kwenye Show hivyo angemtafuta baadae.

young killer rapper kutoka Mwanza.

0 Response to "Young killer adaiwa kutoa mahari."

Chapisha Maoni