ZA UKWELI SANA

Uhusiano mpya Unaosomeka Kwa Kajala Na Quick Racker.

  Hivi karibuni kumekuwa na uhusiano wa karibu sana wa msanii wa kiwanda cha bongo movie Kajala Masanja almaarufu kama Kajala na msanii wa muziki wa kizazi kipya Quick Rocker.
  Kama hilo lakuwa karibu ni kimahusiano ya kimapenzi litafanya kapo nyingine ya muziki wa bongo fleva na bongo movie ambapo kapo nyingine ni kama ya Wema sepetu na Diamond,Nuhu Mziwanda na Shilole na hivi karibuni kulikuwa na minong"ono ya watu dhidi ya Irene Uwoya kutoka na msami wa THT.
      Akizungumza na Meneja wa Kajala mwandishi wetu alielezwa kuwa ukaribu huo ni kutokana na kajala na Quick Racka kushirikiana katika filamu inayoitwa mbwa mwitu,hata hivyo kajala ameripotiwa hivi majuzi kuongozana na Racka kwenye fiesta ya Tanga.

0 Response to "Uhusiano mpya Unaosomeka Kwa Kajala Na Quick Racker."

Chapisha Maoni