ZA UKWELI SANA

HII NDIO KUMI BORA YA NCHI ZILIZO ENDELEA ZENYE TATIZO KUBWA LA AJIRA DUNIANI.

Tatizo la ajira limekuwa kubwa sana kwa nchi ya Tanzania vijana wengi,wanamaliza shule na vyuo na kukosa ajira kila mwaka,tatizo hilo lipo si tu kwa Tanzania au kwa nchi za Africa Hapana,bali ni kwa dunia nzima.
    zifuatazo ni nchi kumi (10) kubwa duniani zenye tatizo la ajira:-
(1)Swirtzland

(2)Sweden

(3)Ireland

(4)Newzland

(5) Germany

(6)Nerthalands

(7)United States

(8)Australia

(9)Norway

(10) united King dom

0 Response to "HII NDIO KUMI BORA YA NCHI ZILIZO ENDELEA ZENYE TATIZO KUBWA LA AJIRA DUNIANI."

Chapisha Maoni