ZA UKWELI SANA

Dabo Atajwa kuwania tuzo za reggae za Kimataifa 2014.

   Mwanamuziki wa miondoko ya reggae nchini dabo ameingia kwenye kinyang"anyiro cha kuwania tuzo za kimataifa za raggae katika kipengele cha mtumbuizaji bora,tuzo hizo za kimataifa zinafahamika kama international Raggae and Music Awards(IRAWMA).
  katika kuwania tuzo hizo dabo anaingia kwenye ushindani na MC Norman kutoka Uganda,Alkaline na kranium wa Jamaica na Shatta wale wa Ghana.
unaweza kumpigia kura mtandaoni pia kwa kupitia link hii hapa www.irawma.com
    irawma vote 2014

0 Response to "Dabo Atajwa kuwania tuzo za reggae za Kimataifa 2014."

Chapisha Maoni