ZA UKWELI SANA

Mwanafunzi wa chuo cha uuguzi Mbeya anyonga Kichanga.

Mwanafunzi wa chuo cha uuguzi Chimala Mbeya,amekutwa na tuhuma za kumuua kwa kumnyonga mwanawe wa kumzaa, muda mchache baada ya kumzaa na kumtia kwenye salfet na kumtia chumvi na majivu ili kusudi mwili usinuke ukienda kutupwa porini.
  Tizama picha mbalimbali za binti huyo mwenye umri wa miaka 27 alipotiwa mikononi mwa polisi na picha nyingine akiwa na mfuko wa samfeleti alioweka mwili wa kiumbe hicho.

0 Response to "Mwanafunzi wa chuo cha uuguzi Mbeya anyonga Kichanga."

Chapisha Maoni