ZA UKWELI SANA

REAL MADRID YAITWANGA TANZANIA.

timu ya Real Madrid Legends yaitwanga timu ya Tanzania magoli 3-1,magoli hayo matatu ya Madrid yalifungwa na Ruben na goli la Tanzania ilipigwa cross na shedrack Nsajigwa na beki wa madrid aliifungisha timu yake goli hilo.
     Tizama hapa picha na matukio mbali mbali ya mchezo huo ulivyokuwa.
   picha na yusuph Mbuguni.

0 Response to "REAL MADRID YAITWANGA TANZANIA."

Chapisha Maoni