ZA UKWELI SANA

Raisi Kikwete atawazwa kuwa Chifu Msaidizi wa Waluguru na chifu kingalu huko kinole Morogoro,apewa jina la Chidukila

Chifu Wa waluguru Kingalu mwanabaruzi wa 14 akijiandaa kumtawaza Raisi Jakaya Mrisho Kikwete kuwa Chifu Msaidizi wa kabila hilo katika sherehe za aina yake zilizofanyika katika uwanja wa shule ya Msingi kinole,kata ya Makuyuni Morogoro.

0 Response to "Raisi Kikwete atawazwa kuwa Chifu Msaidizi wa Waluguru na chifu kingalu huko kinole Morogoro,apewa jina la Chidukila"

Chapisha Maoni