ZA UKWELI SANA

Mshindi wa mashairi apatikana.

kamati ya usimamizi wa tuzo ya Ebrahimu Hussein,ikiongozwa na Mwenyekiti Ibrahimu Seushi imeendesha shindano hilo kwa kushauriana na Tanzania Gatsby Trust (TGT) na Mkuki na Nyota Publishers.
  mshindi wa tuzo hizo ni Esther Mgondo kutoks dar aliyewasilisha mashairi yanayoitwa msamaha,Changudoa,na penda wewe nafasi ya puli imechukuliwa na Rashidi kutoka Zanzibar mashairi yake ni tamu imeingia sumu,tunda na fadhaiko nafasi ya tatu Sylvin Makila kutoka Mbeya mashairi yake ni Edeni,Sanamu na bunge la wanyama.
mshindi wa kwanza alipata milioni mbili,wa pili alipata milioni moja na watatu alipata laki saba.

0 Response to "Mshindi wa mashairi apatikana."

Chapisha Maoni