ZA UKWELI SANA

PICHA MBiLI ALIPoST JOKATE KWA MTANDAO.

Jicho la harakati Kitaa,linafahamu kwamba mwanadada Jokate Mwegelo ameshaingia rasmi kwenye Muziki wa bongo fleva rasmi kwani alipopanda kwenye jukwaa la Fiesta mwaka 2014 kupafom alisema anatarajia kuachia track zake mbili kwa radio.
  jana katika mtandao wake wa instagram na alipost picha mbili moja akaandika "huyu ananimaliza" na nyengine akaandika "nampeleka kwa babu yangu wa kingoni" kwa udadisi uliofanywa na dawati letu la jicho la harakati kitaa umebaini hiyo ni Advitisement wa ngoma zake hizo anazo taka kuzidrop hapa town.

0 Response to "PICHA MBiLI ALIPoST JOKATE KWA MTANDAO."

Chapisha Maoni