Wizara ya Mambo ya ndani imefuta ajira 200 za konstebo na koplo katika Idara ya uhamiaji baada ya kubaini kuwa kulikuwa na upendeleo katika usaili na sasa zitatangwazwa upya na kusimamiwa na wizara hiyo.
Katibu mkui wizara hiyo Mbarak Abdul Wakili amesema kamati maalumu ya kuchunguza ajira imebaini kuwa haki haijatumika katika kuajiri watu hao na kwamba kilikuwa na upendeleo wa wazi kabisa wakuu wa idara na maafisa waliweka ndugu zao na watoto wao,kwani kulikuwa hakuna hata uwiano wa kiumri wa miaka 25 na 35 unaotakiwa na idara hiyo.
katibu mkuu,Wizara ya mambi ya Ndani,Abdul Wakili akizungumzia jana kuhusu kufutwa kwa ajira 200 uhamiaji.kulia ni mkurugenzi wa upelelezi wa makosa ya jinai (DCI) Isaya Mngulu .picha na jicho la harakati kitaa
WIZARA YAFUTA AJIRA 200 ZA UHAMIAJI.
Posted by Unknown
on Ijumaa, 22 Agosti 2014,
Add Comment
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 Response to "WIZARA YAFUTA AJIRA 200 ZA UHAMIAJI."
Chapisha Maoni