ZA UKWELI SANA

Mama yake Beyonce aweka wazi ukweli kuhusu tetesi za Beyonce na Jayz kutaka Kuachana.

Hivi karibuni kumekuwa na tetesi nyingi kuhusu uhusiano kati ya Beyonce na Jayz kutaka kuvunjika.Stori hizo zinapata nguvu kutokana na historia ya ugomvi uliotokea kati ya Jayz na mdogo wake Beyonce kwenye lift.
  Camera ya mapaparazi ikakutana na mama Beyonce akiwa anatokea restaurant na kumuuliza kuhusu ukweli juu ya maisha ya ndoa ya mwanaye na Jayz.Alichojibu mama huyo ni kwamba kila kitu kipo sawa,aliongeza zaidi kwa kusema wanaochukia wataendelea kuchukia lakini wawili hao (Jay Z na Beyonce)mambo yao yapo Vizuri.

0 Response to "Mama yake Beyonce aweka wazi ukweli kuhusu tetesi za Beyonce na Jayz kutaka Kuachana."

Chapisha Maoni