ZA UKWELI SANA

Panya Watamfuna Vidole na pua Kichanga Huko Afrika KuSini.

  Panya wameng"ata mtoto wa mwezi mmoja vidole na pua huko Afrika kusini,kitongoji cha Alexandra wanakoishi watu wenye vipato vya chini,mtoto Erena Yekanyi anatarajiwa kufanyiwa upasuaji baada ya kuumizwa vibaya na panya huyo.
   Mama yake alikuwa akifua nje ndipo aliposikia Erena akilia sana na alipoingia ndani alikuta damu nyingi ziki mtoka Erena ndipo alipogundua janga hilo.

0 Response to "Panya Watamfuna Vidole na pua Kichanga Huko Afrika KuSini."

Chapisha Maoni