ZA UKWELI SANA

Mtoto Wa Miaka 9 alivyomuua Mwalimu wake Akimfundisha Kutumia Bunduki.

Kwanza inashangaza kwa umri wenyewe wa mtoto wa kike mwenye umri wa miaka tisa anaetoka New York City,aliye mfyatulia risasi kwa bahati mbaya mwalimu wake aliyekuwa akimfundisha kutumia bunduki Charles Vacca mwenye umri wa miaka 39 aliefariki alipokimbizwa hospitalini    Kampuni moja ya kutengeneza risasi inayoitwa Bullets burgers wamesema watoto wenye umri wa miaka 8-18 wanaweza kufyatua risasi wakiwa chini ya ulinzi wa mwalim au mlezi.

Chini ni picha ya sehemu ya video ya mwalimu huyo akimfundisha mtoto huyo kabla hajauwawa.

0 Response to " Mtoto Wa Miaka 9 alivyomuua Mwalimu wake Akimfundisha Kutumia Bunduki."

Chapisha Maoni