ZA UKWELI SANA

EBOLA YASABABISHA SHULE KUFUNGWA NIGERIA.

  Hii ipo katika habari kubwa za BBC leo,wizara ya elimu nchini Nigeria imeahirisha shule zote kufunguliwa katika kipindi hiki cha mwezi August kufuatia ugonjwa hatari wa Ebola,ambao mpaka sasa umeua raia watano nchini humo.
    Shule hizo zitafunguliwa october 13 mwaka huu kwa kile kinachoelezwa kupatiwa mafunzo ya kukabiliana na ugonjwa huo walimu wote nchini humo.

0 Response to "EBOLA YASABABISHA SHULE KUFUNGWA NIGERIA."

Chapisha Maoni