ZA UKWELI SANA

OFFside Trick wazinguana.

  lile kundi la miondoko ya mduara la offside trick limevunjika kwa kile kinachodaiwa,ni maslahi na ubinafsi kati yao,alinukuliwa akilalamika hayo Hammer q katika kipindi cha Ng"aring'ari kinacho rushwa na clouds tv na kutangazwa na bi Sakina Liyoka,amesema mwenziwe huyo wa akenato rec ni mbinafsi.

0 Response to "OFFside Trick wazinguana."

Chapisha Maoni