ZA UKWELI SANA

Mchezaji wa Cameroon amekufa baada ya kupigwa kichwani.

   Elbert aliyekuwa na umri wa miaka 24,ndiye aliyefunga mabao mengi katika ligi ya msimu uliopita.
  Alirushiwa kitu wakati mashabiki walipokerwa kwa timu yake Js Kabylie iliposhindwa kwa mabao 2-1 katika mechi iliyochezwa nyumbani Tizi Ozzu.
  Elbert amekufa baada ya kupigwa kichwani wakati mashabiki waliokereka waliporusha mawe mwisho wa mechi ya ligi ya Algeria.

0 Response to "Mchezaji wa Cameroon amekufa baada ya kupigwa kichwani."

Chapisha Maoni