ZA UKWELI SANA

Msaidizi Wa Mwingira alivyo uawa Kwa Risasi

   Inasikitisha sana mkalimani wa mchungaji wa kanisa La Efata jijini Dareeslaam nabii josephat Mwingira ameuawa kwa kupigwa risasi alipokuwa anatoka kuchukua Kiasi cha pesa benki,marehemu Audson Philip siku ya tukio akiwa na mkewe alitembea moja ya bank mlimani City ambapo alikuwa kwenye moja ya bank mahala hapo na kutoa kiasi cha pesa cha shilingi milioni nane ndipo walipotokea watu asio wafahamu wakimtaka awapatie fedha,ndipo alipo wapa fedha hizo lakini hata baada ya kufanya hivyo walimpiga risasi mbele ya mke wake.
  Mchungaji wa kanisa hilo josephati Mwingira amesema msaidizi wake huyo alikuwa akimsaidia kutafsiri anapokuwa nchi za nje kifo chake ni pigo kwake na kwa kanisa lakini wanaamini yote ni mipango ya mungu na wanamuachia yeye.
    Picha mbalimbali za mazishi ya Ndugu Audson Philip

0 Response to "Msaidizi Wa Mwingira alivyo uawa Kwa Risasi"

Chapisha Maoni