ZA UKWELI SANA

IRENE Paul Muda wa kuzaa Sasa Umefika.

Mwanadada diva katika filamu za kibongo nchini irene paul alietamba na filamu ya kibajaji na Majuto aliyoifanya chini ya kampuni yake ya Akrema,amesema muda sahihi kwake wa kupata mtoto umefika.
  Alisema tatizo kubwa linalosumbua wanawake linakuwa ni yupi mume sahihi wa kupata nae mtoto lakini yeye kwake hilo halina tatizo kwani yupo na muda ukifika atamtataja hilo kwake halimpi stress.
    Mwanadada Irene paul katika pozi

0 Response to "IRENE Paul Muda wa kuzaa Sasa Umefika."

Chapisha Maoni