ZA UKWELI SANA

NDOA YA CANON Na Maria carey Yafikia Ukingoni

  Ile ndoa ya kijana mdogo msanii Nick Canon miaka 33 na mwanadada shuga mami maria Carey miaka 44 imefikia ukingoni baada ya kuweko kwa muda wa miaka 6.
Wawili hao walibahatika kupata watoto mapacha wa kike na wakiume na chanzo utengano wao hakijafahamika mpaka sasa lakini kumekuwa na hofu kubwa kwa Canon juu ya malezi ya watoto hao.
   pichani wanandoa hao wakiwa na watoto wao enzi za mapenzi yao.

0 Response to "NDOA YA CANON Na Maria carey Yafikia Ukingoni"

Chapisha Maoni