ZA UKWELI SANA

JB ALICHONIFANYIA Q CHILLA KIMENISHTUA.

      Sura ya mauzo kwenye filamu bongo Jacob Steven (JB)amesema alichofanya msanii wa bongo fleva nchini Abubakari Katwila (Q chilla) kwenye filamu yake ya hukumu ya ndoa yangu part iii kimemfurahisha sana kwani mbongo fleva huyo ana kipaji kizuri sana na ameitendea haki filamu hiyo.
  Jb amesema mzigo wa filamu huo upo tayari na soon tu utaingia sokoni.

0 Response to "JB ALICHONIFANYIA Q CHILLA KIMENISHTUA."

Chapisha Maoni