ZA UKWELI SANA

LUPITA NYONGO NA KNAAN SASA LIVE BILA CHENGA.

Msanii wa filamu kutoka kenya,ambae pia ni msanii pekee kutoka Afrika Mashariki kushinda tuzo za Oscar ambazo ni tuzo kubwa duniani,zilizuka tetesi mwaka uliopita kuwa na mahusiano na mwanamuziki kutoka nchini Somalia Knani,aliyetamba sana na wimbo wake wa kombe la dunia mwaka 2010,hivi karibuni wameonekana kwenye mgahawa mmoja nchini Marekani wakiwa wameshikana mikono na mabusu kem keeeem!sasa si siri tena mambo hadharani.

Pichani katika pozi mwanadada Lupita nyongo akiwa na baby wake Knaani.

0 Response to "LUPITA NYONGO NA KNAAN SASA LIVE BILA CHENGA."

Chapisha Maoni