Mara ngapi umejiuliza umuhimu wa hayo mawazo hasi yanayokusumbua,kama uwoga wa kufanya jambo,kukata tamaa na kuwa na imani ya kushindwa ...
Home » Uncategories » KULIKONI MABINTI WENGI KUPENDA PIPI ZA VIJITI *LOLIPOP*
KULIKONI MABINTI WENGI KUPENDA PIPI ZA VIJITI *LOLIPOP*
Add captionKumekuwa na mtindo kwa mabinti wengi bongo na pengine hata nje ya bongo mabinti wengi hupenda kupiga picha au kumingo kwa mitaa na pipi za vijiti maarufu kama lolipop,huku wakiweka mapozi tofauti tofauti je kulikoni,kuna uhusiano gani kati ya wadada na pipi za vijiti swagz,style,au vifuata upepo tu?usisite kutuandikia maoni yako hapa tupate kujifunza zaidi karibuni nyooote mtiririke hapa!
0 Response to "KULIKONI MABINTI WENGI KUPENDA PIPI ZA VIJITI *LOLIPOP*"
Chapisha Maoni