ZA UKWELI SANA

SEPP BLATTER ASEMA HABANDUKI HATA KWA GREDA.

Raisi wa shirikisho la soka duniani FIFA,sepp Blatter amekataa wito wa kutoka kwa baadhi ya wafadhili wakuu wa shirikisho hilo wa kutaka ajiuzulu mara moja.
   kwa kwile kinachoonekana kuwa hatua za pamoja,makampuniya cocacola,MCdonalds,VISA,na Budeir yametaka Blatter kuondoka FIFA sasa badala ya mwezi Februari jinsi ilivyopangwa,VISA inasema kuwa hakuna mabadiliko yeyote ya maana yanaweza kufanyika katika usimamizi wa sasa,utawala nchini uswisi unamchunguza bwana blatter kama sehemu ya uchunguzi wake kuhusu ufisadi.

0 Response to "SEPP BLATTER ASEMA HABANDUKI HATA KWA GREDA."

Chapisha Maoni