ZA UKWELI SANA

MICHELLE OBAMA.WASICHANA;WAVULANA SIO KITU

Michelle obama ahimiza,wasichana wasiogope wavulana,mke wa raisi wa Marekani Michelle obama amewashauri wasichana waliobaleghe kutoogopa kupania kuwa mtoto mwenye akili zaidi darasani.''alisema wasichana hawafai kuwajali wavulana wanasema nini,shindaneni na wavulani hakikisheni mmewashinda''
aliwaambia wasichana 1000 wa shule pamoja na wanawake vijana alipokuwa akihutubu wakati wa hafla ya kupigia debe kampeni yake ya 'let girls learn'waacheni waasichana wasome,lengo la kampeni hiyo ni kuhakikisha wasichanakatika mataifa yanayoendelea wanapata elimu,pia inalenga wasichana nchini marekani kutumia nafasi zilizopo.

0 Response to "MICHELLE OBAMA.WASICHANA;WAVULANA SIO KITU"

Chapisha Maoni