ZA UKWELI SANA

MWANAMUZIKI CHIDI BENZI ATUNGA WIMBOWA KUMTUKANA NA KUMDHALILISHA LOWASA

Mwanamuziki wa miondoko ya hiphop hapa nchini,chidi benzi ametunga wimbo unaomchafua,kumtukana na kumdhalilisha mheshimiwa lowasa,hilo ni jambo lisilotarajiwa kwa msanii yeyote yule kutumia matusi na kashfa kwa mtu yeyote yule,huyu chidi sijui ni mibangi au miunga bado inamsumbua kwani miezi kadhaa nyuma alikuwa na kesi ya kukutwa na mihadarati inawezekana kuathirika kwake kwa madawa ya kulevya ndio kumemchanganya akili zake,wimbo huo alioutunga chidi hajautoa katika radio bali unasambazwa katika mitandao ya kijamii kama whatsaap na youtube,uzoefu unaonyesha chidi si mara ya kwanza kutunga nyimbo za matusi mara ya kwanza alitunga wimbo wa kuusifia uume wake na yeye anavyoweza kufanya ngono huku akitamka matusi ya waziwazi kabisa.
tunaliomba baraza la  sanaa nchini kumpa adhabu kubwa lisiishie tu kwa shilole aliyejidhalilisha mwenyewe wakamuacha chidi benzi aliyemdhalilisha kiongozi wa taifa kama ni bangi zake apeleke kwa mama yake huko.

0 Response to "MWANAMUZIKI CHIDI BENZI ATUNGA WIMBOWA KUMTUKANA NA KUMDHALILISHA LOWASA"

Chapisha Maoni